Surat Al-Falaq (الفلق) ni sura ya 113 katika Qur’ani na ina aya 5. Jina lake lina maana ya “Mapambazuko”. Ni sura ya Makka, iliyoteremshwa Makka kabla ya Hijra, na iko katika juzuu ya 30.
Katika ukurasa huu unaweza kusoma Surat Al-Falaq yote kwa Kiarabu, pamoja na tafsiri ya Kiswahili ya Ali Muhsin Al-Barwani aya kwa aya na matamshi kwa herufi za Kilatini, na kusikiliza kisomo chake.
Surat Al-Falaq kamili: Kiarabu, tafsiri ya Kiswahili na matamshi
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَـٰنِ ٱلرَّحِيمِ
-
قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلْفَلَقِ١
Qul aʿoothu birabbi alfalaqi
Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko,1
Maelezo
[1] Sema najikinga na Mola Mlezi wa asubuhi inapo pambazuka kutokana na usiku. -
مِن شَرِّ مَا خَلَقَ٢
Min sharri ma khalaqa
Na shari ya alivyo viumba,2
Maelezo
[2] Na shari ya kila chenye shari katika viumbe, ambavyo hapana wa kuzuia shari yao ila Mwenye kumiliki amri yao. -
وَمِن شَرِّ غَاسِقٍ إِذَا وَقَبَ٣
Wamin sharri ghasiqin itha waqaba
Na shari ya giza la usiku liingiapo,3
Maelezo
[3] Na shari ya usiku unapo kuwa totoro. -
وَمِن شَرِّ ٱلنَّفَّـٰثَـٰتِ فِى ٱلْعُقَدِ٤
Wamin sharri alnnaffathati fee alʿuqadi
Na shari ya wanao pulizia mafundoni,4
Maelezo
[4] Na shari ya anaye pita baina ya watu kwa sababu ya kuwafisidi. -
وَمِن شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ٥
Wamin sharri hasidin itha hasada
Na shari ya hasidi anapo husudu.5
Maelezo
[5] Na shari ya hasidi anaye tamani iondoke neema kwa wengine.
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Surat Al-Falaq maana yake ni nini?
Al-Falaq maana yake ni “Mapambazuko”.
Surat Al-Falaq iko katika juzuu ya ngapi?
Surat Al-Falaq iko katika juzuu ya 30.
Surat Al-Falaq ina aya ngapi?
Surat Al-Falaq ina aya 5.
Surat Al-Falaq ni ya Makka au ya Madina?
Surat Al-Falaq ni sura ya Makka.
Surat Al-Falaq ni sura ya ngapi katika Qur’ani?
Ni sura ya 113 katika Qur’ani.
Vyanzo
- Arabic text: Tanzil Quran Text (Uthmani) (Tanzil Project, CC BY 3.0), reproduced without changes.
- Translation: Ali Muhsin Al-Barwani, from QuranEnc.com, version 1.0.1, reproduced without changes.
- Transliteration: Tanzil.net English transliteration.
- Recitation: Mishary Rashid Alafasy, via QuranicAudio.com and EveryAyah.com.
- Word by word: recordings and meanings from Quran.com (Quran Foundation), played when you tap a word.
- Madinah and IndoPak fonts (Settings): the text in those scripts and their fonts come from the Quran Foundation (Quran.com); the Madinah font is the King Fahd Glorious Quran Printing Complex's Uthmanic Hafs font.
Found a mistake? Report a mistake and we will check it against the source.