سورة الناس

Surat An-Nas kwa Kiswahili

Wanadamu

Msahafu

Mishary Rashid AlafasyPakua MP3Pakua PDF

Surat An-Nas (الناس) ni sura ya 114 katika Qur’ani na ina aya 6. Jina lake lina maana ya “Wanadamu”. Ni sura ya Makka, iliyoteremshwa Makka kabla ya Hijra, na iko katika juzuu ya 30.

Katika ukurasa huu unaweza kusoma Surat An-Nas yote kwa Kiarabu, pamoja na tafsiri ya Kiswahili ya Ali Muhsin Al-Barwani aya kwa aya na matamshi kwa herufi za Kilatini, na kusikiliza kisomo chake.

Surat An-Nas kamili: Kiarabu, tafsiri ya Kiswahili na matamshi

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَـٰنِ ٱلرَّحِيمِ

  1. قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلنَّاسِ۝١

    Qul aʿoothu birabbi alnnasi

    Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu,1

    Maelezo
    [1] Sema: Najikinga na Mola Mlezi wa wanaadamu, Mwenye kuendesha mambo yao.
  2. مَلِكِ ٱلنَّاسِ۝٢

    Maliki alnnasi

    Mfalme wa wanaadamu,2

    Maelezo
    [2] Mfalme wa wanaadamu, kwa ufalme ulio timia, kuwamiliki wote wafalme wao na maraia.
  3. إِلَـٰهِ ٱلنَّاسِ۝٣

    Ilahi alnnasi

    Mungu wa wanaadamu,3

    Maelezo
    [3] Mungu wa wanaadamu, Mwenye uweza kwa kuwasarifu kwa ukamilifu atakavyo.
  4. مِن شَرِّ ٱلْوَسْوَاسِ ٱلْخَنَّاسِ۝٤

    Min sharri alwaswasi alkhannasi

    Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas,4

    Maelezo
    [4] Na shari ya mwenye kutia wasiwasi watu, ambaye hurudi nyuma ukiomba msaada kwa Mwenyezi Mungu dhidi yake.
  5. ٱلَّذِى يُوَسْوِسُ فِى صُدُورِ ٱلنَّاسِ۝٥

    Allathee yuwaswisu fee sudoori alnnasi

    Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu,5

    Maelezo
    [5] Ambaye hutia kwa kificho katika vifua vya watu ya kuwaachisha wasende kwenye njia ya uwongofu.
  6. مِنَ ٱلْجِنَّةِ وَٱلنَّاسِ۝٦

    Mina aljinnati wa alnnasm

    Kutokana na majini na wanaadamu.6

    Maelezo
    [6] Kutokana na majini na wanaadamu.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Surat An-Nas maana yake ni nini?

An-Nas maana yake ni “Wanadamu”.

Surat An-Nas iko katika juzuu ya ngapi?

Surat An-Nas iko katika juzuu ya 30.

Surat An-Nas ina aya ngapi?

Surat An-Nas ina aya 6.

Surat An-Nas ni ya Makka au ya Madina?

Surat An-Nas ni sura ya Makka.

Surat An-Nas ni sura ya ngapi katika Qur’ani?

Ni sura ya 114 katika Qur’ani.

Vyanzo

  • Arabic text: Tanzil Quran Text (Uthmani) (Tanzil Project, CC BY 3.0), reproduced without changes.
  • Translation: Ali Muhsin Al-Barwani, from QuranEnc.com, version 1.0.1, reproduced without changes.
  • Transliteration: Tanzil.net English transliteration.
  • Recitation: Mishary Rashid Alafasy, via QuranicAudio.com and EveryAyah.com.
  • Word by word: recordings and meanings from Quran.com (Quran Foundation), played when you tap a word.
  • Madinah and IndoPak fonts (Settings): the text in those scripts and their fonts come from the Quran Foundation (Quran.com); the Madinah font is the King Fahd Glorious Quran Printing Complex's Uthmanic Hafs font.

Found a mistake? Report a mistake and we will check it against the source.

Mipangilio ya kusoma

Fonti ya Qur’ani
Ukubwa wa Kiarabu
100%
Ukubwa wa tafsiri
100%
Mandhari

Ongeza kwenye skrini ya kwanza

ReadSurahFungua ReadSurah kutoka skrini ya kwanza, kwa skrini nzima. Sura ulizosoma hufunguka hata bila intaneti.

  1. Katika Safari, gusa kitufe cha kushiriki (Share). Kwenye iPhone mpya kiko kwenye menyu ya •••.
  2. Gusa “Add to Home Screen”. Huenda ukahitaji kusogeza chini.
  3. Gusa “Add”.