سورة الإخلاص

Surat Al-Ikhlas kwa Kiswahili

Ikhlasi

Msahafu

Mishary Rashid AlafasyPakua MP3Pakua PDF

Surat Al-Ikhlas (الإخلاص) ni sura ya 112 katika Qur’ani na ina aya 4. Jina lake lina maana ya “Ikhlasi”. Ni sura ya Makka, iliyoteremshwa Makka kabla ya Hijra, na iko katika juzuu ya 30.

Katika ukurasa huu unaweza kusoma Surat Al-Ikhlas yote kwa Kiarabu, pamoja na tafsiri ya Kiswahili ya Ali Muhsin Al-Barwani aya kwa aya na matamshi kwa herufi za Kilatini, na kusikiliza kisomo chake.

Surat Al-Ikhlas kamili: Kiarabu, tafsiri ya Kiswahili na matamshi

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَـٰنِ ٱلرَّحِيمِ

  1. قُلْ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ۝١

    Qul huwa Allahu ahadun

    Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.1

    Maelezo
    [1] Ewe Muhammad! Hao wanao sema kwa kejeli, "Tusifie Mola wako Mlezi.": waambie: Yeye ni Mwenyezi Mungu wa pekee hapana mwenginewe, wala hana mshirika.
  2. ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ۝٢

    Allahu alssamadu

    Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.2

    Maelezo
    [2] Mwenyezi Mungu Mwenye kukusudiwa peke yake katika haja zote, na yote yanayo takikana.
  3. لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ۝٣

    Lam yalid walam yooladu

    Hakuzaa wala hakuzaliwa.3

    Maelezo
    [3] Hana mtoto wala hakuzaliwa na baba wala mama,
  4. وَلَمْ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدٌۢ۝٤

    Walam yakun lahu kufuwan ahadun

    Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.4

    Maelezo
    [4] Wala hana yeyote aliye mshabihi, au mfano wake.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Surat Al-Ikhlas maana yake ni nini?

Al-Ikhlas maana yake ni “Ikhlasi”.

Surat Al-Ikhlas iko katika juzuu ya ngapi?

Surat Al-Ikhlas iko katika juzuu ya 30.

Surat Al-Ikhlas ina aya ngapi?

Surat Al-Ikhlas ina aya 4.

Surat Al-Ikhlas ni ya Makka au ya Madina?

Surat Al-Ikhlas ni sura ya Makka.

Surat Al-Ikhlas ni sura ya ngapi katika Qur’ani?

Ni sura ya 112 katika Qur’ani.

Vyanzo

  • Arabic text: Tanzil Quran Text (Uthmani) (Tanzil Project, CC BY 3.0), reproduced without changes.
  • Translation: Ali Muhsin Al-Barwani, from QuranEnc.com, version 1.0.1, reproduced without changes.
  • Transliteration: Tanzil.net English transliteration.
  • Recitation: Mishary Rashid Alafasy, via QuranicAudio.com and EveryAyah.com.
  • Word by word: recordings and meanings from Quran.com (Quran Foundation), played when you tap a word.
  • Madinah and IndoPak fonts (Settings): the text in those scripts and their fonts come from the Quran Foundation (Quran.com); the Madinah font is the King Fahd Glorious Quran Printing Complex's Uthmanic Hafs font.

Found a mistake? Report a mistake and we will check it against the source.

Mipangilio ya kusoma

Fonti ya Qur’ani
Ukubwa wa Kiarabu
100%
Ukubwa wa tafsiri
100%
Mandhari

Ongeza kwenye skrini ya kwanza

ReadSurahFungua ReadSurah kutoka skrini ya kwanza, kwa skrini nzima. Sura ulizosoma hufunguka hata bila intaneti.

  1. Katika Safari, gusa kitufe cha kushiriki (Share). Kwenye iPhone mpya kiko kwenye menyu ya •••.
  2. Gusa “Add to Home Screen”. Huenda ukahitaji kusogeza chini.
  3. Gusa “Add”.