Surat Al-Asr (العصر) ni sura ya 103 katika Qur’ani na ina aya 3. Jina lake lina maana ya “Alasiri”. Ni sura ya Makka, iliyoteremshwa Makka kabla ya Hijra, na iko katika juzuu ya 30.
Katika ukurasa huu unaweza kusoma Surat Al-Asr yote kwa Kiarabu, pamoja na tafsiri ya Kiswahili ya Ali Muhsin Al-Barwani aya kwa aya na matamshi kwa herufi za Kilatini, na kusikiliza kisomo chake.
Surat Al-Asr kamili: Kiarabu, tafsiri ya Kiswahili na matamshi
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَـٰنِ ٱلرَّحِيمِ
-
وَٱلْعَصْرِ١
Waalʿasri
Naapa kwa Zama!1
Maelezo
[1] Naapa kwa Zama kwa sababu ya maajabu mengi na mazingatio yaliomo ndani yake. -
إِنَّ ٱلْإِنسَـٰنَ لَفِى خُسْرٍ٢
Inna alinsana lafee khusrin
Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara,2
Maelezo
[2] Hakika kila binaadamu bila ya shaka yumo katika namna fulani au fulani ya kukhasiri, kwa mujibu wa anavyo ghilibiwa na pumbao na matamanio. -
إِلَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّـٰلِحَـٰتِ وَتَوَاصَوْا۟ بِٱلْحَقِّ وَتَوَاصَوْا۟ بِٱلصَّبْرِ٣
Illa allatheena amanoo waʿamiloo alssalihati watawasaw bialhaqqi watawasaw bialssabri
Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri.3
Maelezo
[3] Isipo kuwa wale walio muamini Mwenyezi Mungu na wakatenda mema, na wakadumu juu ya ut'iifu, na wakasemezana na kuusiana kwa kushikamana na Haki, kwa itikadi, na maneno, na vitendo. Na wakausiana wasubiri na wavumilie mashaka yanayo wapata wenye kushikamana na Dini. Basi hao ndio wenye kusalimika na hiyo khasara, wenye kufanikiwa duniani na Akhera.
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Surat Al-Asr maana yake ni nini?
Al-Asr maana yake ni “Alasiri”.
Surat Al-Asr iko katika juzuu ya ngapi?
Surat Al-Asr iko katika juzuu ya 30.
Surat Al-Asr ina aya ngapi?
Surat Al-Asr ina aya 3.
Surat Al-Asr ni ya Makka au ya Madina?
Surat Al-Asr ni sura ya Makka.
Surat Al-Asr ni sura ya ngapi katika Qur’ani?
Ni sura ya 103 katika Qur’ani.
Vyanzo
- Arabic text: Tanzil Quran Text (Uthmani) (Tanzil Project, CC BY 3.0), reproduced without changes.
- Translation: Ali Muhsin Al-Barwani, from QuranEnc.com, version 1.0.1, reproduced without changes.
- Transliteration: Tanzil.net English transliteration.
- Recitation: Mishary Rashid Alafasy, via QuranicAudio.com and EveryAyah.com.
- Word by word: recordings and meanings from Quran.com (Quran Foundation), played when you tap a word.
- Madinah and IndoPak fonts (Settings): the text in those scripts and their fonts come from the Quran Foundation (Quran.com); the Madinah font is the King Fahd Glorious Quran Printing Complex's Uthmanic Hafs font.
Found a mistake? Report a mistake and we will check it against the source.