سورة القدر

Surat Al-Qadr kwa Kiswahili

Cheo Kitukufu

Msahafu

Mishary Rashid AlafasyPakua MP3Pakua PDF

Surat Al-Qadr (القدر) ni sura ya 97 katika Qur’ani na ina aya 5. Jina lake lina maana ya “Cheo Kitukufu”. Ni sura ya Makka, iliyoteremshwa Makka kabla ya Hijra, na iko katika juzuu ya 30.

Katika ukurasa huu unaweza kusoma Surat Al-Qadr yote kwa Kiarabu, pamoja na tafsiri ya Kiswahili ya Ali Muhsin Al-Barwani aya kwa aya na matamshi kwa herufi za Kilatini, na kusikiliza kisomo chake.

Surat Al-Qadr kamili: Kiarabu, tafsiri ya Kiswahili na matamshi

بِّسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَـٰنِ ٱلرَّحِيمِ

  1. إِنَّآ أَنزَلْنَـٰهُ فِى لَيْلَةِ ٱلْقَدْرِ۝١

    Inna anzalnahu fee laylati alqadri

    Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani katika Laylatul Qadri, Usiku wa Cheo Kitukufu.1

    Maelezo
    [1] Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani katika usiku wa Cheo na Utukufu.
  2. وَمَآ أَدْرَىٰكَ مَا لَيْلَةُ ٱلْقَدْرِ۝٢

    Wama adraka ma laylatu alqadri

    Na nini kitacho kujuulisha nini Laylatul Qadri?2

    Maelezo
    [2] Na kitu gani kitakufunza ni nini usiku huo wa Cheo na Utukufu?
  3. لَيْلَةُ ٱلْقَدْرِ خَيْرٌ مِّنْ أَلْفِ شَهْرٍ۝٣

    Laylatu alqadri khayrun min alfi shahrin

    Laylatul Qadri ni bora kuliko miezi elfu.3

    Maelezo
    [3] Usiku wa Qadr na Sharaf, Cheo na Utukufu, ni bora kuliko miezi elfu, kwa kuwa umekhusika kwa kuteremka ndani yake Qur'ani tukufu.
  4. تَنَزَّلُ ٱلْمَلَـٰٓئِكَةُ وَٱلرُّوحُ فِيهَا بِإِذْنِ رَبِّهِم مِّن كُلِّ أَمْرٍ۝٤

    Tanazzalu almalaikatu waalrroohu feeha biithni rabbihim min kulli amrin

    Huteremka Malaika na Roho katika usiku huo kwa idhini ya Mola wao Mlezi kwa kila jambo.4

    Maelezo
    [4] Huteremka Malaika na Jibrili katika usiku huo mpaka kwenye ardhi kwa idhini ya Mola wao Mlezi kwa sababu ya kila jambo.
  5. سَلَـٰمٌ هِىَ حَتَّىٰ مَطْلَعِ ٱلْفَجْرِ۝٥

    Salamun hiya hatta matlaʿi alfajri

    Amani usiku huo mpaka mapambazuko ya alfajiri.5

    Maelezo
    [5] Na wameaminika na maudhi na uovu. Hali inabaki hivyo mpaka mapambazuko ya alfajiri.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Surat Al-Qadr maana yake ni nini?

Al-Qadr maana yake ni “Cheo Kitukufu”.

Surat Al-Qadr iko katika juzuu ya ngapi?

Surat Al-Qadr iko katika juzuu ya 30.

Surat Al-Qadr ina aya ngapi?

Surat Al-Qadr ina aya 5.

Surat Al-Qadr ni ya Makka au ya Madina?

Surat Al-Qadr ni sura ya Makka.

Surat Al-Qadr ni sura ya ngapi katika Qur’ani?

Ni sura ya 97 katika Qur’ani.

Vyanzo

  • Arabic text: Tanzil Quran Text (Uthmani) (Tanzil Project, CC BY 3.0), reproduced without changes.
  • Translation: Ali Muhsin Al-Barwani, from QuranEnc.com, version 1.0.1, reproduced without changes.
  • Transliteration: Tanzil.net English transliteration.
  • Recitation: Mishary Rashid Alafasy, via QuranicAudio.com and EveryAyah.com.
  • Word by word: recordings and meanings from Quran.com (Quran Foundation), played when you tap a word.
  • Madinah and IndoPak fonts (Settings): the text in those scripts and their fonts come from the Quran Foundation (Quran.com); the Madinah font is the King Fahd Glorious Quran Printing Complex's Uthmanic Hafs font.

Found a mistake? Report a mistake and we will check it against the source.

Mipangilio ya kusoma

Fonti ya Qur’ani
Ukubwa wa Kiarabu
100%
Ukubwa wa tafsiri
100%
Mandhari

Ongeza kwenye skrini ya kwanza

ReadSurahFungua ReadSurah kutoka skrini ya kwanza, kwa skrini nzima. Sura ulizosoma hufunguka hata bila intaneti.

  1. Katika Safari, gusa kitufe cha kushiriki (Share). Kwenye iPhone mpya kiko kwenye menyu ya •••.
  2. Gusa “Add to Home Screen”. Huenda ukahitaji kusogeza chini.
  3. Gusa “Add”.