سورة الماعون
Surat Al-Ma’un kwa Kiswahili
Misaada Midogo
- 107
- Aya 7
- Sura ya Makka
- Juzuu 30
- Ukurasa 602
Surat Al-Ma’un (الماعون) ni sura ya 107 katika Qur’ani na ina aya 7. Jina lake lina maana ya “Misaada Midogo”. Ni sura ya Makka, iliyoteremshwa Makka kabla ya Hijra, na iko katika juzuu ya 30.
Katika ukurasa huu unaweza kusoma Surat Al-Ma’un yote kwa Kiarabu, pamoja na tafsiri ya Kiswahili ya Ali Muhsin Al-Barwani aya kwa aya na matamshi kwa herufi za Kilatini, na kusikiliza kisomo chake.
Surat Al-Ma’un kamili: Kiarabu, tafsiri ya Kiswahili na matamshi
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَـٰنِ ٱلرَّحِيمِ
-
أَرَءَيْتَ ٱلَّذِى يُكَذِّبُ بِٱلدِّينِ١
Araayta allathee yukaththibu bialddeeni
Je! Umemwona anaye kadhibisha Malipo?1
Maelezo
[1] Unamjua anaye kanusha malipo na hisabu ya Akhera? -
فَذَٰلِكَ ٱلَّذِى يَدُعُّ ٱلْيَتِيمَ٢
Fathalika allathee yaduʿʿu alyateema
Huyo ndiye anaye msukuma yatima,2
Maelezo
[2] Ukitaka kumjua basi ni huyo ambaye anaye msukuma yatima kwa nguvu, na anamtumilia mabavu, na anamdhulumu, -
وَلَا يَحُضُّ عَلَىٰ طَعَامِ ٱلْمِسْكِينِ٣
Wala yahuddu ʿala taʿami almiskeeni
Wala hahimizi kumlisha masikini.3
Maelezo
[3] Na wala hahimizi kulishwa masikini. -
فَوَيْلٌ لِّلْمُصَلِّينَ٤
Fawaylun lilmusalleena
Basi, ole wao wanao swali,4
Maelezo
[4] Maangamio yatawashukia wanao sali na wakasifika kwa sifa hizi, na wakaghafilika na Swala zao wasinafiike nazo. -
ٱلَّذِينَ هُمْ عَن صَلَاتِهِمْ سَاهُونَ٥
Allatheena hum ʿan salatihim sahoona
Ambao wanapuuza Sala zao;5
Maelezo
[5] Maangamio yatawashukia wanao swali na wakasifika kwa sifa hizi, na wakaghafilika na Swala zao wasinafiike nazo. -
ٱلَّذِينَ هُمْ يُرَآءُونَ٦
Allatheena hum yuraoona
Ambao wanajionyesha,6
Maelezo
[6] Ambao huonyesha kwa watu vitendo vyao, ili wapate cheo katika nyoyo za hao watu, na wasifiwe. -
وَيَمْنَعُونَ ٱلْمَاعُونَ٧
Wayamnaʿoona almaʿoona
Nao huku wanazuia msaada.7
Maelezo
[7] Na huku wanazuia hisani zao na msaada wao kwa watu
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Surat Al-Ma’un maana yake ni nini?
Al-Ma’un maana yake ni “Misaada Midogo”.
Surat Al-Ma’un iko katika juzuu ya ngapi?
Surat Al-Ma’un iko katika juzuu ya 30.
Surat Al-Ma’un ina aya ngapi?
Surat Al-Ma’un ina aya 7.
Surat Al-Ma’un ni ya Makka au ya Madina?
Surat Al-Ma’un ni sura ya Makka.
Surat Al-Ma’un ni sura ya ngapi katika Qur’ani?
Ni sura ya 107 katika Qur’ani.
Vyanzo
- Arabic text: Tanzil Quran Text (Uthmani) (Tanzil Project, CC BY 3.0), reproduced without changes.
- Translation: Ali Muhsin Al-Barwani, from QuranEnc.com, version 1.0.1, reproduced without changes.
- Transliteration: Tanzil.net English transliteration.
- Recitation: Mishary Rashid Alafasy, via QuranicAudio.com and EveryAyah.com.
- Word by word: recordings and meanings from Quran.com (Quran Foundation), played when you tap a word.
- Madinah and IndoPak fonts (Settings): the text in those scripts and their fonts come from the Quran Foundation (Quran.com); the Madinah font is the King Fahd Glorious Quran Printing Complex's Uthmanic Hafs font.
Found a mistake? Report a mistake and we will check it against the source.